Saturday, March 6, 2010

Mbweha

Ki-Matumbi (kiswahili) anaitwa mbweha lakini wenye lugha yao wanamuita black back Jackal.

Msosi wake ni wanyama wadogo hasa hasa panya au kuzengea makombo ya wengine. sometimes anakuwa muwindaji na kuna nyakati anakuwa mtu wa makombo. wadau waliopiga trip Ruaha NP walimkuta akiwa kijiweni kwake akitafakari mishe mishe zake.

No comments:

Post a Comment