Wednesday, March 3, 2010

Ndege wa ngorongoro crater

Majirani zetu waliamua kumtumia huyu ndege kama alama ya taifa lao.



Hapa ndio paleeee, Ngoitoktok ambako kunakuwa na vipanga wanaofanya dives za kasi ajabu. sharti la hapa ni kwamba usishika chakula mkono ukiwa nje ya gari au sehemu ambayo ni open. utashinda na njaa siku hiyo


Hivi tusaidiane, kanga ni mnyama wa porini au ni domestic animal?

Shukran ya picha; Mdau Tom wa kimasafaris

5 comments:

  1. Ningependa kujua majina ya hao ndege mdau,ukiweza turushie.tuko pamoja

    ReplyDelete
  2. picha nzuri, keep it up.

    ReplyDelete
  3. Nilikuwa sijawahi kutembelea site yako. Nimeiona leo baada ya kuhabarishwa na mfanyakazi mwenzangu. Je site ilianza zamani? Kama jibu ni ndiyo, je nawezaje kupata picha zilizokuwepo kabla ya leo? Mwisho unaweza kutupa gharama za kutembelea mbuga mbali mbali?

    ReplyDelete
  4. nimeipenda sana blog yako, lakini naomba ujitambulishe pia wewe mwenyewe ili kama utajulikana ushauri utakufukia kwa haraka.
    WANYUMBANI

    ReplyDelete
  5. Naomba nijibu kwa mpigo Dukuduku za wadau waliotangulia kutoa comments;
    - hii blog imeanza mwanzoni mwa mwaka jana, japo imeanza kushika kasi vilivyo mwishoni mwa mwaka jana baada ya kufanikiwa kukusanya content ya kutosha na yenye mwelekeo thabiti
    - Post za zamani zipo, ukifika mwisho wa page/chini unakutana na sehemu inasema 'older posts'. Bofya hapo na utapelekwa ktk picha za awali.
    kwa yeyote mwenye ushauri au neno lolote ruksa kuwasiliana kwa kupitia tembeatz@gmail.com

    Pia kama una picha inayohusu mambo yanayorandana na blog hii unakaribishwa kuituma kwa kupitia email hiyo hiyo.

    Shukran sana wadau wote kwa kampani mnayotoa.

    KK

    ReplyDelete