Mandhari hii murua unakutanayo maeneo ya Usa-river ukiacha njia ya moshi-Arusha na kufuata njia inayoelekea Arusha NP. Barabara hii ndio itakayokufikisha Ngurdoto Mountain lodge pia.
Njia hii pia inakupeleka kilipo Chuo cha Arusha (kabla ya kulifikia lango la Arusha NP) na eneo la Ngare na Nyuki. ili kufika Ngare na Nyuki inabidi upite ndani ya Arusha NP.
bongo yetu nzuri. mandhari ya kuvutia
ReplyDeletemdau hiyo miti kulelekea ngurudoto inapatika wapi na inaitwaje,tafwadhali tuulizie utuweke kwa blo....nashukuru Mungu kuzaliwa Tanzania...dah aisee big up mmenikuna na picha zenu mpaka
ReplyDeletehongera sana kazi yako imeenda shule, mi nadhani ungeitangaza kweney blog nyingine ili itembelewe zaidi....
ReplyDelete