Ni mwendo wa takriban kilomita 18 ukiwa unaelekea Tunduma kutoka Mbeya unakutana na Utengule Coffee lodge; sehemu yenye mandhari na utulivu mwanana. Ni sehemu muafaka unapotaka kupata utulivu wa mwili na akili. Hii style ya ku-combine mashamba ya kahawa na lodges imeshamiri kaskazini (arusha), Mbeya nako ipo. Utengule Coffee lodge ipo ktk mfumo huo huo pia.
Hizi ni sehemu ambazo ukikaa sana unaweza kujikuta unasahau hata jina lako. picha juu ni mandhari ya chumba kwa kukuonjesha. Tembelea site yao kwa ku-bofya hapa ili kujua zaidi kuhusu Utengule Coffee lodge na mambo mengine zaidi. Ahsante ya picha imfikie Mdau Tom.
No comments:
Post a Comment