Wenye lugha yao wanamuita Hornbill, nakumbuka zamani kidogo ndege hawa walikuwa wanapatikana hata katika baadhi ya maeneo ndani ya Arusha mjini. Siku hizi kuwaona inabidi uende mbugani. Wingi wa watu unaopelekea ardhi kutumika kwa ajili ya makazi kunapelekea baadhi ya vionjo vilivyokuwa mijini kutowekea porini, mbali nasi. Picha ilipigwa Manyara NP
Kwa lugha yetu, au kama Ankal Michuzi anavyosema, kimatumbi, huyu anaitwa hondohondo!
ReplyDelete