
Kuna mdau katurushia picha zinazoonyesha shughuli aliyopambana nayo mwezi December wakati akielekea kwao Mbaga, milimani (Same) kusherehekea Christmas. Mvua zilikuwa zimetibua mwenendo mzima wa safari ya mdau.

Sehemu nyingine barabara ziligeuka mto.


Jamaa akihangaika kumvusha ng'ombe ili akapate kitafunio cha sikukuu. ilikuwa ni patashika kila mmoja akihangaika kinamna

wenye motokaa kuna sehemu walipeta. Ukisikia uzalendo ndio huu, mtu anadhamiria kufika kwao kwa gharama yoyote. ama kweli, MWENDA KWAO SI MTORO.
haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete