Thursday, February 18, 2010

Kila mmoja kwa nafasi yake..

Ruaha National park


Mnapokuwa safari (wengi), mmoja kati yenu akichepuka kwenda kuchimba dawa, utashangaa wengi watamuunga mkono. Sina uhakika hali hii tuliyonayo sisi binadamu ndio inayojionyesha hapa kwa hawa sharubu wawili waliokutwa na wadau ndani ya Hifadhi ya taifa ya Ruaha, Iringa.

1 comment:

  1. jamani Tanzania kuzuri,asikwambie mtu.nimependa hiyo green.asante TEMBEA kwa kutufungua macho

    ReplyDelete