Kenge ana tabia ambayo huwashangaza wengi, endapo mvua itamkuta akiwa nje ya mto au bwawa, kenge huanza kutimua mbio na kisha kujitosa mtoni haraka iwezekenavyo. Yaani kama mvua ingekuwa ni moto, baso tabia hii ya kenge ingekuwa ni sawa na kuruka majivu na kwenda kutua kwenye moto mkali wa petroli. Kwa namna nyingine, hali hii hutafsiriwa na wachache kwamba yeye hapendi kuloa rejareja kama mvile mvua inavyolowesha. yeye anataka aloe jumla jumla...
No comments:
Post a Comment