
Ngiri ni mnyama ambae anakuwa na pilikapilika nyingi porini. Endapo mkikutana nae, atakimbia hatua kadhaa mbali na kisha atasimama na kuwaangalia hali ambayo wengi huitafisiri kana kwamba anakuwa anawauliza - "Iko Shida??"

Mdau aliwafuma wakiwa wanajivinjari ndani ya ngorongoro crater.
Inasemekana ngiri husahau haraka sana pale anaposimama huwa kisha sahau alikuwa anakimbia nini ndo husimama na kujikumbusha!
ReplyDelete