Wednesday, December 30, 2009

Tunakaribisha picha

Kwa mdau ambae ana picha zenye mandhari maridhawa iliyopigwa/zilizopigwa ndani ya Tanzania (sio lazima ziwe za mbugani) basi asisite kututumia picha hizo kwa njia ya barua pepe kwa kupitia anuani ya
tembeatz@gmail.com
bila hiyana tembea Tz itazirusha hewani ili wadau waweze kujionea jinsi nchi yetu ilivyojaaliwa na mwenyezi mungu mandhari maridhawa.

Ahsante kwa wadau walionza kushirikiana nasi kwa njia mbali mbali ktk libeneke la picha za mandhari tulivu ya Tanzania. Karibuni sana na tunategemea ushirikiano toka kwenu ktk kuendeleza libeneke.

TembeaTz

1 comment: