Sunday, August 14, 2016

Taswira za leo hii 14th Aug kutoka Mikumi NP

Shukran za dhati kwa Mdau Heavenly Lyimo ambaye ni guide pale hifadhi ya Taifa ya Mikumi. Kwa watakaohitaji huduma ya kuongozwa naye wanaweza mpata kwa kupitia namba yake +255657335471. Kwa Mujibu wa mdau Heavenly, Sharubu huyu walikutana nae karibu na bwawa la viboko- hippo Pool.

Masikio wakiendelea na misele yao karibu na TANAPA bandaz

ni Kawaida yao kutoka nje ya bwawa lao na kuota jua ili kupasha moto miili yao. porini wanaitwa mkasi.


No comments:

Post a Comment