Friday, August 26, 2016

Serengeti National Park, Jioni ya leo 26th Aug 2016

Moja ya Sehemu ambapo Nyumbu wanavuka mto Mara 
Wapo Harusini

Machweo

Hawa wameshagongewa VISA na wapo Tanzania. Shukran kwa Mdau Bonny wa Jimmex Cars Arusha kwa picha maridhawa za jioni ya leo toka Serengeti 

No comments:

Post a Comment