Monday, June 1, 2015

Taswira za Karibu Travel Markets Arusha

Karibu Travel Markets 2015 Arusha
Ni Picha chache nilizorushiwa na Mdau Arnold wa Road 2 Africa zikionyesha baadhi ya maeneo ndnai ya viwanja vya Magereza mkoani Arusha ambako maonesho ya Utalii ya Karibu Travel Markets 2015 yalikuwa yakirindima. Karibu Travel Markets 2015 Arusha


Karibu Travel Markets 2015 Arusha


Karibu Travel Markets 2015 Arusha
Shukran ya Picha kwa Mdau Arnold Ulomi - Road 2 Africa

No comments:

Post a Comment