Sunday, May 31, 2015

Ziwa Momela Dogo - Arusha National Park

Momella Lake Arusha National Park Tembea Tanzania Safaris
 Arusha National park ina maziwa kadhaa ambayo yote maji yake ni ya chumvi chumvi - alkaline. Hili kwenye post hii ni Ziwa Momella dogo. Mengine ni Momella kubwa na Rishateni.Momella Lake Arusha National Park Tembea Tanzania Safaris

Momella Lake Arusha National Park Tembea Tanzania Safaris
Hapa kuna mahali ambapo wageni wanaweza kutoka nje ya magari yao na kupata chakula kwenye mezi iliyo juu ya kilima hicho.

Momella Lake Arusha National Park Tembea Tanzania Safaris

Momella Lake Arusha National Park Tembea Tanzania Safaris

Momella Lake Arusha National Park Tembea Tanzania Safaris

Momella Lake Arusha National Park Tembea Tanzania Safaris

No comments:

Post a Comment