Friday, January 2, 2015

Mtanzania wa Kwanza kufika Uhuru peak kwa mwaka 2015

Ni Mdau Steve Wasira Jr. (Pichani) ambaye ameweka rekodi ya kuwa Mtanzania wa Kwanza kufika kwenye Kilele cha Uhuru kwa mwaka wa 2015. Alipanda mlima kwa kupitia njia ya Machame, safari iliyomchukua siku 6. Alifika kwenye Kilele cha Uhuru tarehe 1 Januari 2015 majira ya saa 0745 Asubuhi.

No comments:

Post a Comment