Sunday, January 4, 2015

Arusha National Park hii leo (4th Jan)

Ni picha zilizopigwa mchana wa Leo (4thJan 2015) ndani ya Arusha National park na kutumwa kwetu na Mdau Bonny wa Jimmex Cars Arusha. Ni za maeneo kadhaa ndani ya hifadhi ya Taifa ya Arusha nje kidogo ya jiji la Arusha. Picha juu imepigwa pembezoni ya Ziwa Momella Dogo


Maji ya Maziwa ya Momella ni alkaline hivyo huwa ni kivutio kwa ndege aina ya Flamingo ambao hupendelea kula algae wa kijani wanaoshamiri kwenye maji ya alkaline.

No comments:

Post a Comment