Saturday, January 10, 2015

Jembe ni Jembe beach, Nyegezi Mwanza

jembe ni Jembe beach Mwanza
 ni Picha nilizozipiga mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka jana kwenye kiota kinachokonga maraha katika jiji la Mwanza. Ni Jembe ni Jembe beach iliyopo maeneo ya Nyegezi, nje kidogo ya jiji la Mwanza. Kiota hiki cha maraha kipo karibu na Chuo cha Mtakatifu Augustine campus ya Nyegezi.jembe ni Jembe beach Mwanza


jembe ni Jembe beach Mwanza

jembe ni Jembe beach Mwanza
 Upande wa Ziwani

jembe ni Jembe beach Mwanza

jembe ni Jembe beach Mwanza

jembe ni Jembe beach Mwanza
Baadhi ya Milima ya Nyegezi ikionekana kwa mbali

jembe ni Jembe beach Mwanza

jembe ni Jembe beach Mwanza


2 comments: