Saturday, January 10, 2015

Diving, Nungwi - Zanzibar

Diving, Nungwi -Zanzibar
Nikijiandaa kabla ya kupiga mbizi (Diving) huko pande za Nungwi, Mwanzoni mwa mwezi Desemba mwaka Jana. Safari iliyoanzia kwenye Hoteli ya La Gemma Del Est pande za Nungwi, Unguja.Diving, Nungwi -Zanzibar
 Kushoto ni Diving Instructor wangu wa siko hiyo bw. Haji na kulia ni Nahodha wa boti yetu aliyetupeleka eneo lenye mwamb mzuri wenye samaki wengi na mandhari nzuri kwa ajili ya diving.

Diving, Nungwi -Zanzibar
Safari ikiendelea

Diving, Nungwi -Zanzibar

Diving, Nungwi -Zanzibar
 All is Set

Diving, Nungwi -Zanzibar
Baada ya kumaliza diving; bahati mbaya sikuwa na camera yenye uwezo wa kupiga pichi nikiwa kwenye maji. Hapo ni baada ya kumaliza excursion yetu iliyotuchukua dakika 46 na kutufikisha kina cha mita saba chini ya usawa wa Bahari.

Diving, Nungwi -Zanzibar

Diving, Nungwi -Zanzibar

Diving, Nungwi -Zanzibar
Zoezi la kusaula vifaa vya diving halikusubiri tufike pwani, tulianza kuvipunguza mara baada ya kuingia kwenye boti. Mtungi wa Diving unakuwa mzito unapokuwa nje ya maji, lakini ni mwepesi uwapo ndani ya maji.

No comments:

Post a Comment