Wednesday, September 24, 2014

Tembo wa Tarangire NP

Tarangire National Park Tanzania
 Huwa napata faraja kuendelea kuona Nchi bado inao hawa wanyama na wapo ambao wana meno yao. Takwimu za ujangili zinatisha kiasi cha kwamba huwa napata hofu mwishowe nchi yetu itabaki kuwa na Tembo wasio na meno yao. itakuwa ni sawa na kuwa na Simba asiyekuwa na sharubu. Kundi hili la Tembo lilionekana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Abdul ambaye alikuwa huko kwa mapumziko mafupi.Tarangire National Park Tanzania

Tarangire National Park Tanzania

Tarangire National Park Tanzania

Tarangire National Park Tanzania

Tarangire National Park Tanzania
uwingi wa magari ya wageni yalioweka kituo eneo walilokuwepo Tembo hawa ni ushahidi tosha kuwa Wengi wanapenda kuwaona Tembo hususan wale wenye meno yao bado.
Shukran ya picha kwa Mdau Abdul, mdau mwandamizi wa Shereheyetu.com

No comments:

Post a Comment