Monday, September 29, 2014

Trekking the Maasai Land on Foot; Mambo ya Tanzania Travel Company

licha ya safari kuwa ni ya miguu, Gari hii kazi yake kubwa ni kubeba vifaa na mahitaji mbalimbali ya wasafiri. Hubeba vitu kama mahema, vyakula na wafanyakazi wanaohusika na maandalizi na usimamizi wa kambi ambao wao hawaambatani na wageni.
Picha kwa hisani ya Tanzania Travel Company

No comments:

Post a Comment