Tuesday, September 16, 2014

Mnazi Mmoja, Lindi

mnazi mmoja Lindi
Hapa ni Mnazi Mmoja, takriban kilomita 15 kutoka Lindi mjini ukiwa unaelekea Mtwara. Ni eneo ambapo kuna njia panda ya kuelekea Masasi kama ambavyo vibao vya TANROADS vinavyoelekeza.


mnazi mmoja Lindi
Kulia ni kuelekea Mtwara na kushoto ni kuelekea Lindi Mjini. Eneo hili la Mnazi Mmoja lipo ndani ya mkoa wa Lindi. Barabara inayochepuka pembeni ya kibao ni barabara ya kuingilia kwenye Mzani wa TANROADS.

mnazi mmoja Lindi

mnazi mmoja Lindi

mnazi mmoja Lindi
Vibao kadhaa kukuelekeza na kukuonyesha umbali wa safari uliobakia

mnazi mmoja Lindi
Nilikuwepo pia

No comments:

Post a Comment