Wednesday, September 17, 2014

Mnarani, Mtwara

 Ni moja ya maeneo maarufu katika mji wa Mtwara. Kwa anayeingia Mtwara kwa Gari ni dhahiri atapitia hapa. Pembeni ya eneo la Mnarani kuna uwanja wa Mashujaa ambao nao una sanamu ya mashujaa. Ni eneo ambalo hutumika kwa ajili ya shughuli za kuwakumbuka mashujaa wa Taifa letu.


Sehemu ya uwanja wa Mashujaa, eneo hili hutumika kwa gwaride la kijeshi wakati wa sikukuu ya Mashujaa wetu.

Hapo kuna njia panda ya kuelekea Bandarini, kuelekea Lindi na maeneo mengine ya nje ya mji wa Mtwara pia.


1 comment:

  1. hawa wamachinga wanakimbia bure kwao kuzuri na mna hii

    ReplyDelete