Monday, July 28, 2014

Ukanda wa Hotel za Pwani ya Dar Es Salaam

 Kwa sisi wakazi wa jiji la Dar Es Salaam, ukanda wa pwani ya Kunduchi ndio upande wa pwani wenye mahoteli mengi ya kitalii. Nilibahatika kupiga picha za sehemu ya mahoteli yaliyopo huko nikiwa hewani miezi kadhaa. Unaweza kutambua hoteli unazoziona kwenye hii post?Bongo Tambarare.. Ni msemo anaopenda sana kuutumia Ankal Michuzi kwenye blog yake. Hebu tusaidiane kutambua na kuzitaja baadhi ya hoteli zinazoonekana kwenye picha ya mtundiko huu.


No comments:

Post a Comment