Monday, July 28, 2014

Oldonyo Lengai - leo 28 July

Mdau Fredrick yupo njiani kutoka Loliondo kurudi Arusha na ametutumia picha ya Mlima Oldonyo Lengai unavyoonekana leo hii.

1 comment:

  1. Kitu Pori hiki...
    I like it and thanks KK.

    Watu tunaokaa hapa town penye vikwangua anga tunafarijika sana na vitu hivi vya porini

    ReplyDelete