Sunday, October 27, 2013

Taswira za leo leo... Serengeti NP na Ngorongoro crater

 Ni picha nilizotumiwa kwa Whatsapp na Mdau Bony toka Arusha zikionyesha mandhari ya Serengeti na Ngorongoro crater. Zimepigwa na mdau ambae yupo njiani kurudi Arusha akitokea Serengeti Kikazi. Picha juu ni njia ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti


Ngorongoro crater
Shukran kwa Mdau Bonny na chanzo chake kwa taswira hizi za leo leo

No comments:

Post a Comment