Monday, October 28, 2013

Machweo, Mto Rufiji kwenye Kijiji cha Mloka...

Mloka ni kijiji cha mwisho kabisa kabla ya kufika kwenye geti la Mtemere, moja ya mageti ya kuingilia kwenye pori la akiba la Selous huko Wilayani Rufiji. Picha imepigwa na Mdau Thomas hivi karibuni akiwa kwenye boat safari ndani ya mto Rufiji

No comments:

Post a Comment