Saturday, October 19, 2013

Picha za hivi karibuni toka Serengeti National Park

Serengeti National Park Tanzania
 Nimetumiwa leo hii na Mdau Assery wa Arusha aliyekuwa Serengeti Wiki hii kikazi. Picha juu ni pride ya Simba ambayo ilikuwa inatega mingo kwenye moja ya vichuguu vya mchwa ili kuweza kuona mbali - vantage point.


Serengeti National Park Tanzania
Hawa ni Duma aka wa Chini wakiwa wanaendelea kula windo lao. Kutokana na kufunikwa na nyasi ilikuwa ngumu kwa wadau kuweza kubaini walichoua.

Serengeti National Park Tanzania
Huyu ni Chui aka wa Juu akiwa anaranda randa chini.

Serengeti National Park Tanzania
 Wa juu akiwa eneo lake la kujidai - Juu 

Serengeti National Park Tanzania
Kundi la Shurubu jike na watoto kadhaa likiwa linapiga misele kwenye moja ya njia za ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Mmoja wao anaonekana kuwa na collar shingoni ambayo ni ishara ya kuwa kuna watafiti wanafuatilia mwenendo wake na wa kundi lake ndani ya hifadhi.

Serengeti National Park Tanzania
 Mzee wa Kazi

Serengeti National Park Tanzania
 Walikuwa harusini aka Honeymoon.

Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania

Serengeti National Park Tanzania
 Mdau Assery akiwa anawajibika

Serengeti National Park Tanzania
Machweo ndani ya hifadhi ya Taifa ya Serengeti

No comments:

Post a Comment