Monday, October 21, 2013

Dar Es Salaam Zoo, Kibada

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo
 Kipindi cha Sikukuu ya Eid Al Hajj hivi karibuni Abdul Kimanga wa Respect DJ ambae pia ni Mdau Mwandamizi wa ShereheYetu (Blog rafiki na TembeaTz) alitembelea Dar Es Salaam zoo na ku share nasi taswira hizi. DSM Zoo ipo maeneo ya Kibada wilayani Temeke. 


ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo
 Tumbusi (Vultures) wapo pia

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo
Sio mamba, ni Kenge

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo
 Mdau Edson

Mdau Charles, walikuwa wameambatana na Abdul & Co huko DSM Zoo. Ni namna nzuri ya kuanza kuwatambulisha watoto raha za porini na wanyama wa porini mapema wakati wakiwa wadogo. Mimi binafsi safari yangu ya kwanza kwenda Porini (Serengeti NP) ilikuwa nikiwa na umri wa miaka 4. Japo kumbuku za safari ile si nyingi zaidi ya picha nilizowahi kuziona nilipokuwa mkubwa lakini nadhani ndipo chimbuko la kuthamini na kupenda Wanyama wa Porini na mambo ya uhifadhi yalipochipukia.

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo
 Chui aka wa Juu nao wapo DSM zoo pia

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo

ShereheYetu Dar Es Salaam Zoo
Shukran yapicha kwa Mdau Abdul Kimanga wa Shereyetu Blog kwa picha hizi

No comments:

Post a Comment