Tuesday, October 29, 2013

Lake Momella, Arusha National park

Lake Momella, Arusha National park Tanzania
Ziwa Momella ni moja ya Maziwa kadhaa yanayopatikana ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Arusha, iliyopo mkoani Arusha. Ni moja ya vitu vinavyowavutia wageni wengi kuitembelea hifadhi hii kwa kutoa mandhari yenye mvuto sambamba na kuwavutia Flamingo. Maji ya ziwa hili sambamba na mengineyo yanayopatikana Arusha national Park ni Alkaline. Picha hizi zilipigwa mwezi Desemba mwaka 2009.Lake Momella, Arusha National park Tanzania

Lake Momella, Arusha National park Tanzania

Lake Momella, Arusha National park Tanzania

Lake Momella, Arusha National park Tanzania
picha toka Maktaba ya TembeaTz blog 

No comments:

Post a Comment