Monday, October 21, 2013

Taswira toka Serengeti NP... Zilichelewa kufika studio

 Ni Sharubu akiongozana na wanae kwa matembezi ya jioni kabla hawajajipanga kuanza mawindo. Simba hupenda kuwinda mawindo yake baada ya jua kuzama. Mchana huwa ni muda wake wa kupumzika au kuendelea kula kile alichowinda usiku. Hii ilikuwa ni Serengeti NP karibu na Maasia Kopjes. 


Picha hizi Zilitumwa wiki iliyopita mdau Assery wa Arusha lakini ktk hali ya kushangaza zimeingia kapuni leo. Shukran Mdau Assery kwa kushare nasi.

No comments:

Post a Comment