Sunday, September 22, 2013

Ofisi ya Utalii - Hifadhi ya Taifa ya Saadani

 Ni Ofisi ya Utalii Hifadhi ya Taifa ya Saadani. Hapa ndio ilipo ofisi ya wahusika wa mambo ya utalii ndani ya hifadhi ya Saadani na ndio wasimamizi wa bookings za Bandas na Rest house ya TANAPA. Ukitaka Guide wa kukusindikiza kwenye game drive utawapata hapa. Ofisi hii ipo karibu kabisa na Kijiji cha Saadani, ndani ya hifadhi ya Taifa ya Saadani.

 


Ni Mafuvu yaliyokusanywa toka porini na kuwekwa hapa kwa lengo la kutoa elimu kwa wageni wanaopita hapa ofisini kwa shughuli mbalimbali.


No comments:

Post a Comment