Wednesday, September 11, 2013

Geti la Madete - Saadani National Park, Pangani

 Saadani National Park Tembea Tanzania
Madete ni moja ya Mageti 4 ya kuingilia ndani ya hifadhi ya Taifa ya Saadani. Geti hili lipo Kaskazini ya Hifadhi hii ndani ya wilaya ya Pangani. Njia unayoiona ni njia ambayo inaunganisha wilaya ya Pangani na Bagamoyo kwa kupitia ndani ya Hifadhi ya taifa ya Saadani. Picha hii nimeipiga nikiwa ndani ya hifadhi na eneo linaloonekana nje ya geti nje ya hifadhi. Hifadhi ya Taifa ya Saadani inaunganisha Wilaya za Bagamoyo, Pangani na Handeni.

 Saadani National Park Tembea Tanzania
Ofisi ya wahifadhi na wasimamizi wa geti la Madete


No comments:

Post a Comment