Wednesday, August 21, 2013

Musoma Airport

Musoma Airport
Mnaoujua vyema mji wa Musoma mnaweza kuanza kutuelezea viunga vya jiji la Musoma vinavyoonekana kwenye picha juu. Picha ilipigwa na Mdau Albert aliyekuwa huko Kikazi hivi karibuni. hapa ndege yao ilikuwa inatafuta mwelekeo wa kutua kwenye uwanja wa ndege wa Musoma unaoonekana pichani

2 comments: