Saturday, May 4, 2013

Vilele vya Kibo na Mawenzi vinaonekana tokea kituo cha Horombo

KIbo Peak - Horombo hut
Kilele cha Kibo na barafu yake kikionekana vyema asubuhi moja mwezi March (2013) tulipokuwa kituo cha Horombo 

Mawenzi Peak - Horombo
Kilele cha Mawenzi kikionekana kwa nyuma ya Kituo cha Horombo

No comments:

Post a Comment