Saturday, May 25, 2013

Taswira Toka Singida

 Ni Taswira ambazo Mdau Jumaa wa River Spring  (Lushoto) amezitupia kwenye wall yake ya Facebook zikionyesha maeneo kadhaa ya mji wa Singida na baadhi ya mambo ambayo wengine hatuyajui kuhusu Singida. Mdau Jumaa alikuwa huko siku kadhaa na hapo juu ni picha aliyoipiga mida ya jioni akiwa pembezoni ya Ziwa Singida ambalo lipo mkoani hapo. Picha hii ilipigwa mida ya jioni na Ziwa likionekana kwa Nyuma.

Ziwa Singida Likionekana kwa mbaliMitaa ya kati ndani ya Singida Mjinitembelea FB page ya River Sping ConneXions "Lushoto" 
au Blog ya Amazing Lushoto
upate kujua mengi kuhusu project hii ya mdau Jumaa

No comments:

Post a Comment