Saturday, May 25, 2013

Asubuhi Moja ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi

Ni Taswira zilizopigwa Mwezi Januari Mwishoni mwaka huu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi. Unapokuwa umelala ndani ya Hifadhi unakuwa na fursa ya kuweza kuanza matembezi mapema kidogo tofauti na yule aliyelala nje ya Hifadhi ambae atalazimika kusubiri hadi pale ambapo geti la hifadhi litakapofunguliwa na kumruhusu.No comments:

Post a Comment