Monday, May 6, 2013

Kipita shoto cha Samaki ndani ya Jiji la Mwanza

 Ni Kipita shoto maarufu ndani ya jiji la Mwanza kijulikanacho kama Sanamu ya Samaki. Hapo siku za sikukuu huwa panajaa watu ambao huenda kupumzika huku wengi wakiwa na nia ya kupiga picha na sanamu ya Samaki iliyopo kwenye kipita shoto hiki. Picha hii niliipiga siku ya sikukuu ya Pasaka mwaka huu (2013).No comments:

Post a Comment