Sunday, January 27, 2013

Makali ya Jua hayana mrefu wala mfupi

Hawa warefu tuliwakuta wakijificha makali ya jua la mchana ndani ya hifadhi ya Taifa ya Mikumi jana mchana (26/01). Wote walikuwa wamejikusanya chini ya mti usawa wa kivuli cha mti.

No comments:

Post a Comment