Monday, December 31, 2012

The scenery - Ndani ya Selous Game reserve

Selous Game Reserve - Tembea Tanzania Tourism blog
Ni baadhi ya picha ambazo zinaonyesha mandhari ya hali ilivyo Desemba hii ndani ya pori la akiba la Selous, kama linavyoonekana tokea kwenye Treni maalum ya TAZARA iliyofanya safari tokea Dar mpaka Kisaki kwa kupitia ndani ya pori la Selous. Sehemu kubwa ya pori lipo ktk hali ya neema kwani rangi ya kijani imetapakaa sehemu kubwa kuashiria kuwa mvua zilizotangulia zimeleta neema kwa maeneo mengi. kuna baadhi ya maeneo pembezoni mwa reli madimbwi ya maji ya mvua bado yapo. Kuna kipindi hali huwa inasikitisha na kukatisha tamaa hata kwa wewe mgeni. Hii mandhari ya sasa inaleta mvuto machoni.

Selous Game Reserve - Tembea Tanzania Tourism blog

Selous Game Reserve - Tembea Tanzania Tourism blog

Selous Game Reserve - Tembea Tanzania Tourism blog

Selous Game Reserve - Tembea Tanzania Tourism blog

Selous Game Reserve - Tembea Tanzania Tourism blog

Selous Game Reserve - Tembea Tanzania Tourism blog

No comments:

Post a Comment