Monday, December 31, 2012

Ni dakika 45 tu tokea TAZARA stand unaanza kupata hisia za porini..

TAZARA Special Train to Selous
Ni Baada tu ya kupita stesheni ya Mwakanga unaanza kubaini ya kwamba umeshaachana na jiji na eneo lenye makazi ya watu na unaanza kuingia porini au eneo tengwa. Hili ni eneo lipo takriban dakika 45 tokea stesheni kuu ya TAZARA hapa Dar. Kwa mujibu wa maelezo ya mtangazaji wetu kwenye treni eneo hili lipo mkoa wa pwani, Kisarawe na linajulikana kama Kazimzumbwi. Makazi ya watu yapo ya kuhesabu sehemu kubwa ni miti na uoto asilia.

TAZARA Special Train to Selous

TAZARA Special Train to Selous

TAZARA Special Train to Selous

TAZARA Special Train to Selous

TAZARA Special Train to Selous

No comments:

Post a Comment