Monday, December 17, 2012

Ndege ya tatu ya Fastjet imeshaingia nchini

FastJet
Kwa mujibu wa ukurusa wa Facebook wa Fastjet, ndege ya tatu ya kampuni hii iliingia nchini mwisho mwa wiki iliyopita na inatarajiwa kuanza kutoa huduma zake kwenye maeneo Fastjet inapoenda. Kwa kuwasili kwa ndege hii kunaifanya Fastjet kuwa na ndege tatu hapa nchini kwa ajili ya shughuli zake. Ungana nao kupitia mtandao wa Facebook ili uweze kupata dondoo mbalimbali za kampuni hii, huduma pamoja na promosheni mbalimbali zinazoendeshwa na kampuni hii.
Chanzo: Facebook wall ya FastJet

1 comment:

  1. Asante,

    Huu ni mlolongo wa mengi ambayo wngi hatuyaoni isipokuwa kwenye picha a kigeni. Maandaizi na mpangilio wa safu nzima unastahili kupongezwa wa umakini wenu.
    Tunategemea mengi zaidi tafadhali. Kila la kheri.

    Babu Mamzinga

    ReplyDelete