Sunday, November 4, 2012

Mandhari ya Mwanza tokea Capri Point


Mwanza Rock City Tembea Tanzania
Hivi karibuni lens ya Camera ya Tembea Tanzania ilipata fursa ya kutembelea Jiji la Mwanza na kuona maeneo mbalimbali ya jiji hilo. Picha hizi zilipogwa pembezoni ya Ziwa victoria enao lijulikanalo kama Capri Point. Mawe unayoyaona kwenye picha ya Juu ni miamba ijulikanayo kama Bismark ambayo ni moja ya alama za jiji la Mwanza. kushoto ni Meli ya Mv Victoria ikiwa imeegeshwa pembezoni ya Bandari ya abiria. Bandari kwa ajili ya meli za mizigo ipo eneo jingine.

Mwanza Rock City Tembea Tanzania
Jengo lenye maandishi ya Balimi ni Soko kuu la Samaki la Mwaloni aka mahakama ya Sato

Mwanza Rock City Tembea Tanzania
Moja ya mtaa ukiwa unatokea Capri Point na kuingia mjini ambao umetunzwa vyema na ukatunzika.

Mwanza Rock City Tembea Tanzania

Mwanza Rock City Tembea Tanzania
Upande wa Ziwani nako kumepandwa majani vizuri na miti kadhaa.

KK - Kazikupenda Chale

Mwanza Rock City Tembea Tanzania

Mwanza Rock City Tembea Tanzania
Mlima huu niliambiwa unaitwa Mlima wa Kirumba.

No comments:

Post a Comment