Friday, November 2, 2012

Stendi ya Treni (TRC) ya Mwanza

Picha juu ni Stendi ya Treni ya TRC iliyopo Mwanza Mjini. Wengi walipita hapo enzi hizo ambapo usafiri wa reli ulikuwa ni njia kuu kwa wananchi wanaoishi ukanda wa Ziwa.

No comments:

Post a Comment