Friday, October 5, 2012

Walikuwa Harusini - Ruaha NP

HSK Safaris
Mdau Tom wa HSK Safaris aliwakuta Sharubu hawa wawili (jike na dume) wakiwa "bize" ndani ya hifadhi ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa. Wazee wa pori husema wapo harusini au wengine hutumia lugha ya Honeymoon.
HSK Safaris

HSK Safaris

HSK Safaris
Shukran ya picha Mdau Tom wa HSK Safaris

No comments:

Post a Comment