Wednesday, September 26, 2012

Taswira toka Ruaha NP


HSK Safaris, Ruaha National Park
Mdau Tom wa HSK Safaris alikuwa na safari hivi karibuni iliyompeleka mpaka hifadhi ya Taifa ya Ruaha mkoani Iringa. Picha ni mto Ruaha ambao unapita ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

HSK Safaris, Ruaha National Park
Masikio

HSK Safaris, Ruaha National Park

HSK Safaris, Ruaha National Park
Shukran ya picha kwa Mdau Tom wa HSK Safaris - www.hsksafaris.co.tz

No comments:

Post a Comment