Wednesday, September 26, 2012

Dondoo kuhusu ruti 6 za kuupanda Mlima Kilimanjaro

Mlima Kilimanjaro una ruti zipatazo 6 ambazo mgeni anaweza kuzitumia ili kuweza kufika kwenye Kilele cha Mlima Kilimanjaro. Katika pitapita zangu kwenye mitandao mingine nimekutana na tovuti ya Mount Kilimanjaro guide ambayo ina maelezo mbalimbali kuhusu njia hizi kwa wageni na baadhi ya sehemu wamefanya mlinganisho wa njia hizi kwa vigezo kadhaa.
bofya hapa kujua ni vigezo gani unaweza kutumia kuchagua ruti uitakayo
Bofya hapa kujua mazuri na machungu ya kila njia
Unaweza kuyapata mengi ukibofya links mbalimbali zilizopo ktk tovuti yao
Picha toka Maktaba ya Tembea Tz blog

No comments:

Post a Comment