Sunday, September 16, 2012

Faru Faru Lodge, Grumeti Reserve

Ni Moja ya hoteli zilizopo ktk pori la akiba la Grumeti. Pori hili linasimamiwa na kampuni ya Singita lina Hoteli tatu maarufu ambazo ni Faru Faru Lodge (picha juu), Sabora Tented camp na Sasakwa Lodge. Kampuni ya Singita inaendesha hoteli nyingine kubwa za kitalii huko Zimbabwe na Afrika Kusini.
Unaweza kufuatilia habari mbalimbali zinazohusu hoteli zinazendeshwa na kampuni ya Singita kupitia blog yao ambayo ni http://www.singita.com/blog/

No comments:

Post a Comment