Monday, September 17, 2012

Vilipofika Vivutio toka Tanzania ktk 7 Natural Wonders (Africa)

Mpaka sasa (1240hrs EAT; 17th Sept 2012), Vivutio toka Tanzania  ktk mtanange wa Seven Natural wonders (Africa) Vinashikilia nafasi zifuatazo;

2. Mlima Kilimanjaro 
4. Serengeti Migration
7. Ngorongoro Crater

Vyote vipo juu lakini vinahitaji kura ili kuendelea kubaki juu na hatimae kimojawapo kiweze kuibuka kidedea. Wadau wanashauriwa kuendelea kuvipigia kura vivutio toka Tanzania ambavyo ni Mlima Kilimanjaro, Serengeti Migration na Ngongoro crater.

Fuatilia zaidi kupitia

No comments:

Post a Comment