Thursday, June 21, 2012

Usafiri na Malazi combined

Ni Gari ambalo sehemu limefungwa Hema linaloweza kulaza watu wawili. Ni namna mojawapo ya kwenda Camping japo hii camper anakuwa analala kwenye ghorofa la kinamna. Hii ilikuwa ni kwenye maonesho ya utalii ya Karibu 2012 kule Arusha. Hema hilo linaweza kukunjwa na gari kuendelea na safari kama kawaida. na pia linaweza kutolewa na gari likaendelea kutumika kwa matumizi ya kawaida. Picha toka maktaba ya Tembea Tanzania blog.

No comments:

Post a Comment