Wednesday, June 20, 2012

Tujikumbushe kidogo

Mlima Kilimanjaro (picha juu) una vilele viwili. Kimoja kipo upande wa kulia na kingine upande wa kushoto (kwa mujibu wa picha ya hapo juu). 

Naomba unitajie majina ya hivo vilele huku ukisema cha kulia kinaitwaje na cha kushoto vilevile. Tumia sehemu ya Kutolea maoni kwa kutuma jibu lako

  
   
   

3 comments:

  1. KUSHOTO NI KILELE CHA KIBO; KULIA NI KILELE CHA MAWENZI

    ReplyDelete
  2. Kushoto ni Shira na Kulia ni Mawenzi

    ReplyDelete
  3. Kushoto nakiona kilele cha Kibosho na kulia ni Kilele cha Mawenzi

    ReplyDelete